Uanachama
Jinsi ya kuwa Mwanachama:
AINA YA UANACHAMA
1. MWANACHAMA BINAFSI.
Namna ya kujiunga.
Kiingilio shilingi elfu 5000 tu.
Ada ni shilingi 5000
Analipa kwa pamoja shilingi elfu kumi.
2. UANACHAMA WA VIKUNDI / TAASISI
Kiingilio shilingi 50,000
Ada kwa Mwaka ni Shilingi 100,000
Analipia kwa pamoja shilingi laki Moja na nusu.
3.UANACHAMA WA KAMPUNI
Kiingilio shilingi 300,000
Ada kwa Mwaka ni Shilingi 200,000 tu.
Unalipia kwa pamoja shilingi laki Tano tu.
4. MWANACHAMA WA HESHIMA
Kiingilio ni Shilingi elfu 50,000
Ada kwa Mwaka ni Shilingi 50,000
Analipia kwa pamoja shilingi laki Moja tu.
Zingatia. Mwanachama atatakiwa kulipia pesa zote kwa pamoja (Kiingilio na Ada) na atapewa kadi ya uanachama wa taasisi
