Kuhusu Sisi
Kuhusu Sisi
Chama cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania (CHAMAUTA) ni chama kilichoundwa na wadau mbalimbali wa utunzaji wa mazingira pamoja na ufugaji wenye tija hapa nchini. Wadau hao ni wale wanaofuga mifugo mbalimbali kama vile ng’ombe, kondoo, mbuzi, nguruwe, Samaki, Bata, Sungura,n.k. Msukumo wa kuanzisha chama hiki unatokana na hitaji la kuongeza tija katika ufugaji na kutunza na kuendeleza mazingira ambayo mifugo hiyo hutegemea.
Chama kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya Kijamii (The societies Act (CAP 337 R.E 2002) na Kupewa namba ya usajili S.A 23417 Ya tarehe 3 augost, 2023.
JEREMIAH JOHN WAMBURA
Mwenyekiti Taifa Chama Cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania
Kazi ya Taasisi
Kuunganisha Nguvu za wadau wote wa utunzaji wa mazigira na wafugaji wote Tanzania, ili kulinda na kutetea haki na maslahi yao kuimarisha na kutafuta Masoko ya mifugo na kuwajengea uwezo kibiashara na kiuchumi ili kuweza kujiendeleza. Kuhakikisha wafugaji wanapata maeneo bora ya malisho yenye kuendana na dhima nzima ya ufugaji wenye Tija na utunzaji wa mazingira
Taasisi inaamini katika Mambo yafuatayo
➢ Uwazi
➢ Heshima
➢ Uwajibikaji
➢ Uzalendo
➢ Kujitolea
➢ Umoja
➢ Kuzigatia Matokeo Chanya
➢ Kazi kwa pamoja
➢ Mazingira Rafiki
➢ Ubora
Wanachama Waanzilishi Wa Taasisi
S/NO | JINA KAMILI | CHEO | MAWASILIANO |
1 | Jeremiah John Wambura | MWENYEKITI | 0626 723 030 |
2 | Esta Raban Moreto | MKAMU | 0620 487 344 |
3 | Matagili Ramadhani Mbigili | KATIBU MKUU | 0742 181 541 |
4 | Khalid Swelehe | NAIBU KATIBU | 0754 896 613 |
5 | Neema Abdu Ally | MWEKA |
Muundo wa Uongozi wa Chama cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania
