Taarifa Mpya
Taarifa Mpya
Chama cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania (CHAMAUTA) ni chama kilichoundwa na wadau mbalimbali wa utunzaji wa mazingira pamoja na ufugaji wenye tija hapa nchini. Wadau hao ni wale wanaofuga mifugo mbalimbali kama vile ng’ombe, kondoo, mbuzi, nguruwe, Samaki, Bata, Sungura, Kaka, n.k. Msukumo wa…. Soma zaidi>>>
