You are currently viewing Ziara

Ziara

Mwenyekiti wa Chama Cha Mazingira Fuga kwa Tija Tanzania (CHAMAUTA) akiitambulisha Kamati Tendaji katika ofisi ya mkuu wa mkoa Dodoma.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania (CHAMAUTA) akizungumza na Wananchi/ wafugaji juu ya Ufugaji wenye Tija unaozingatia Utunzaji wa Mazingira katika wilaya ya Ngorongoro.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti, akipokea fedha Shilingi Laki Tatu kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mazingira na Ufugaji Tija Tanzania (CHAMAUTA) Bw. Jeremiah Wambura kwa ajili ya vituo vitatu vya watoto yatima ili vinunue mchele. Makabidhiano hayo yamefanyika wakati wa ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Kuku na Ndege Wafugwao kwa Mwaka 2023 jijini Dar es Salaam, yenye kauli mbiu Kuku na Mayai Protini Bora yanayoenda sambamba na Maadhimisho ya Siku ya Ulaji Yai Duniani ili kuhamasisha ulaji wa mayai kwa watoto na watu wazima. (13.10.2023).
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega (MB) akigawa mbegu za malisho aina ya JUNCAO kwa Wafugaji na wanachama wa CHAMAUTA katika shamba darasa la malisho lililopo Vikuge Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani
Mwenyekiti wa Taifa CHAMAUTA katika pamoja na wakurugenzi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyopo mtaa wa Ulinzi mji wa serikali Mtumba.

This Post Has One Comment

  1. MASASILA

    Hongereni sana CHAMAUTA kwa kazi kubwa mnayofanya

Leave a Reply