Miradi inayoanza kutekelezwa ni pamoja na Ufugaji wa kisasa wa Ng’ombe wa Maziwa na Kunenepesha.
A) MIRADI YA UFUGAJI.
CHAMAUTA tunatekeleza miradi Ifuatayo:
a) Miradi ya ufugaji.
b)Miradi ya Mazingira.
1.Mradi wa Ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa na kunenepesha (Dairy Farming and Fattening).
2.Mradi wa kuboresha na kujenga Majosho nchin(Bathing/Washing Stations).
3.Mradi wa Kujenga Vituo vya Maabara ya Mifugo( Animal Laboratory Center).
4.Mradi wa shamba Kufugia kuku wa mayai na nyama (Commercial Layers Farm and Meat).
5.Mradi wa kujenga Machinjio(International StandardnAbattoir).
6.Ujenzi wa Kiwanda cha Madaw ya Mifugo(Animal Medicine Center).
B)MIRADI YA MAZINGIRA.
1.Mradi wa Upandaji Miti na Upendezesha mji.
2.Mradi wa Vitaru vya Miche kila mkoa.
3.Mradi ya Gesi mbadala.
